Tuesday, July 2, 2013

MCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASNI

Anza siku yako kwa kunywa mchanganyiko wa ASALI na MDALASINI kwenye maji ya uvuguvugu kwenye uwiano wa angalau vijiko viwili vya asali kwa kimoja cha mdalasini. Mchanganyiko huu husaidia mambo mengi mwilini ikiwemo kusafisha kibofu cha mkojo, kusafisha tumbo, kuupa mwili nguvu, kupunguza cholestrol mwilini, kuponya kifua na mengine mengi. Anza sasa kwa maana ni kwa afya yako na usisubiri mpaka ushauriwe na daktari.

Asubuhi njema

4 comments:

  1. Hakika tunathamini sana kwa jitihada zenu katika kutoa elimu kwa jamii yetu bila kelele za uchovu wala kusinzia,Tupo pamoja kwenye safari hii.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante sana kaka Ray, hatutachoka kwa maana afya bora ndio msingi wa maendeleo

      Delete
    2. Na karibu pia kua member wa blog yetu hii

      Delete
  2. Hello faraji. Bado unajishughurisha na biashara hii?

    ReplyDelete