Kutokana na udanganyifu ambao watu wamekua wakifanya kwa kuchanganya asali na maji, sukari na vitu vingine ambavyo sio asali ni muhimu kujua njia za kutambua uhakisia wa asali!!
Njia mojawapo ni ya kutumia MSHUMAA katika kutambua uhalisia wa asali!
Chukua mshumaa na kisha chovya utambi wake katika asali kisha washa moto utambi. Endapo utambi utawaka basi asali hiyo ni halisi kwa maana ikiwa imechanganywa na kitu ambacho sio asali utambi hautaweza kuwaka.
Fata step kama inavyoonekana kwenye picha.
Hakika umetufumbua macho! Keep it up!
ReplyDeleteJe ukisha washa mshumaa unatakiwa kuwaka moja kwa moja au utazimika kwenye mda mchache ikiwa hakuna upepo
ReplyDelete