Honey Spring tuna ujazo tofauti wa asali kuanzia lita 5 hadi 350ml tukilenga kufikia watu wote ili kuongeza matumizi ya asali katika jamii zetu.
ASALI YA NYUKI WAKUBWA ambayo kwetu sisi inaitwa WAKUBWA CLASSIC ina ujazo(ikiwa na bei kwenye mabano) wa LITA 5(60, 000), LITA 1(12, 000) na 350ml(5500)
ASALI YA NYUKI WADOGO ambayo kwetu sisi inaitwa WADOGO CLASSIC ina ujazo(ikiwa na bei kwenye mabano) wa LITA 5(175, 000), LITA 1(35, 000), NUSU LITA(20, 000) na 350ml(15, 000).
Ukiwa unahitaji asali toka kwetu na upo DAR ES SALAAM unaweza piga simu namba 0683370065 au 0769129351 na ukatoa order yako na ukaletewa asali ulipo.
Kwa wakazi wa MOROGORO karibuni sana katika duka pekee la asali mkoani morogoro lililopo katika ghorofa la LOTTOS.
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteSerikali kupitia ofisi ya waziri mkuu inategemea kulitangaza zao la asali kuwa miongoni mwa mazao makuu ya biashara na uchumi nchini Tanzania.
ReplyDeletemi nataka kufanya biashara ya asali, je nifanyeje au nitapataje?
ReplyDeleteni hatua nzuri ambayo mnaoyoifanya kwa kutuelimisha kusiana na asali na mambo yake makuu,mimi naomba kuliza kifaa hicho cha kupimia kiwango cha maji kwenye asali kinapatikana wapi na nishinapi
ReplyDelete